Trump azua cheche zaidi

Donald Trump, the newly elected president of the united states of America.

Rais wa Marekani Donald Trump amemfuta kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates kufuatia hatua yake ya kuamrisha mawakili wa idara ya haki nchini humo kutotekeleza amri ya rais kuzuia raia wanaotoka katika nchi za Kiislamu.
Muda mfupi baadaye rais Trump alimteua Dana Boente ambaye alitekeleza amri hiyo mara moja ambayo sasa imezuia raia kutoka nchi saba za Kiislam kuingia Marekani.

The post Trump azua cheche zaidi appeared first on Mediamax Network Limited.

via WORLD – Mediamax Network Limited http://bit.ly/2kQoCde
Nairobi Kenya African News, k24 live, around the globe, media max networks news Kenya
Trump azua cheche zaidi

Leave a Reply